Jeshi la serikali ya Syria limepigana vikali na jeshi la upinzani na jeshi la nchi za nje katika mji wa Aleppo jana tarehe 20. Magari 15 yaliyochukua mashingan za kupiga ndege yaliteketezwa, na ghala moja ya silaha na risasi imebomoka, ambapo watu zaidi ya 100 wenye silaha wa Afghanistan wameuawa katika eneo lililoko karibu na shule ya Booth Taunka SAAR.
22 Septemba 2012 - 06:04
Msimbo wa Habari: 349923
Jeshi la serikali ya Syria laua watu zaidi ya 100 wenye silaha wa Afghanistan huko Aleppo.